Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDO NAJITAIDI NIWE NA MMOJA ILI am sure ntakua nae mmoja soon... we toa ushauri, uo umapepe ndo nataka mnishauri niache
baki na 'mamaa' maana una uhakika ana upendo wa dhati na ww.
huyo anayejifanya kukushauri leo anahitaji ndoa ndio maana ukishamuoa ndio utamjua vizuri.
huyo mzuri anayetongozwa anakuibia tu wala hana msimamo maana angekua ana msimamo asingekua anatoa toa hovyo namba yake,au hao wanaume wanaomtongoza wanapataje namba yake kama sio yeye mwenyewe anayewapatia?
Kijana baki na mamaa,mpende akupendae.
HATA HIVYO TABIA YAKO HAIRIDHISHI WANAWAKE WATATU KWA MPIGO WEWE UNAONA NI SAWA?
mbona hivo??? ndomdna naitaji ushauri wenu
Mkuu angalia sana age zao
Wengine wako desperate wanaona mda unaenda wanatafuta mtu kwa udi na uvumba.
Be careful huyo unayemwona poa ukioa anabadilika vibaya mno.
U better follow their past from those who knew them before usikute unapigwa changa la macho