Nipeni ushauri kwa hawa wanawke watatu

Nipeni ushauri kwa hawa wanawke watatu

Huyu **** asituzingue, anajua nini analofanya na maamuzi anayajua yeye mwenyewe...
 
NDO NAJITAIDI NIWE NA MMOJA ILI am sure ntakua nae mmoja soon... we toa ushauri, uo umapepe ndo nataka mnishauri niache

baki na 'mamaa' maana una uhakika ana upendo wa dhati na ww.
huyo anayejifanya kukushauri leo anahitaji ndoa ndio maana ukishamuoa ndio utamjua vizuri.
huyo mzuri anayetongozwa anakuibia tu wala hana msimamo maana angekua ana msimamo asingekua anatoa toa hovyo namba yake,au hao wanaume wanaomtongoza wanapataje namba yake kama sio yeye mwenyewe anayewapatia?
Kijana baki na mamaa,mpende akupendae.
HATA HIVYO TABIA YAKO HAIRIDHISHI WANAWAKE WATATU KWA MPIGO WEWE UNAONA NI SAWA?
 
Umeona eeeeeeee huyu dogo hajatulia
 
Mkuu angalia sana age zao

Wengine wako desperate wanaona mda unaenda wanatafuta mtu kwa udi na uvumba.

Be careful huyo unayemwona poa ukioa anabadilika vibaya mno.

U better follow their past from those who knew them before usikute unapigwa changa la macho
 
kweli bwana, uyo ninaemwona poa atakuja nsumbua... mana yeye amekaa kuolewa olewa tu..... MAANA NDO AMEMALIZA CHUO
 
Back
Top Bottom