Nipeni ushauri machozi ya shemeji yamenikosesha amani

Mkuu usimsikilize na wala usijihusishe hata chembe.
Ikiwezekana weka distance kabisa,watu huwa tunatofautiana uelewa.
Huwezi jua jamaa atalipokeaje suala hilo pindi atakaposikia unawasiliana na mkewe,achilia mbali kuongea na jamaa kuhusu mkewe.
Masuala ya mahusiano iwe uchumba ama ndoa ni HATARI SANA KUINGILIA.
Mkuu kaa nao mbali weka mipaka.
Laa sivyo huyo shemejiyo ana wazee na ana wakwe.
Mshauri aende ukweni badala ya kukushirikisha wewe ama aende nyumbani aongee na ndugu mkubwa mwenye busara juu ya hili.
Ukijihusisha na mambo yakaenda mlama wakatafuta pa kulaumia waweza onekana chanzo cha matatizo yao.
NAKUSISITIZA KAKA KAA NAO MBALI VUNJA UKARIBU KUHUSU HILO SUALA.
 
Umeongea vyema mkuu
 
Kabla Huyo mwanamke hajakuletea matatizo ,piga block ikiwezekana futa na Namba yake ....mwambie matatizo ya ndoa yake apeleke ukweni Kwao ........

Huyo jamaa muda Si mrefu atakuja kugundua mawasiliano yenu ,...binadamu tunatofautiana uelewa Mzee ,utapigwa risasi ya kichwa mchana kweupe nakwambia ....

Wanawake hawaeleweki kabisa ,acha kujiingiza kwenye mtego WA Huyo mwanamke...
 
Issue kama ya kwako hii yaan ilibaki robo tu nife, ila Mungu yupo jaman kama alinichomoa pale daaaah mpaka wa leo siamin haki. Mzee wa huruma sinikamhurumia shemej baada ya kulia sana, nikamtafuna (kosa)[emoji45]
 
Ushawaza ngono mpuuzi wewe kata mawasiliano utauliwa baina ya mwanamke na mwanaume ni sheytwan atawashawishi utakuja na uzi wa kula kimasikhara mbususu ya Shem wako epuka tatizo mapema.
 
Mkaushie tu mkuu ni kistaarabu tu.
Utakuta jamaa anakutega tu abinye mbupu hizo.
 
Mkuu weka mipaka ya mawasiliano na huyo mwanamke atakuletea shida kwasababu umeshasema wewe na jamaa hamna ukaribu sana wa kuambiana mishe zenu sasa akija kujua una mawasiliano ya karibu na mkewe itakuwa shida. Kama unataka kusaidia basi mtafute jamaa ndo uongee nae ila huyo mwanamke anaweza akakuponza
 
Sure na inawezekana jamaa anamfuatilia mkewe baada ya mambo kuvurugika ili ajue mwanamke anachukua move gani. Unaweza jivika kitanzi aisee mambo ya wanandoa si vizuri sana kuyasogolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…