Nipeni ushauri maumivu ya mgomgo na miguu

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Salamu!
Mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu (kama mwakammmoja na nusu) Amepatiwa matibabu mbalimbali bila mafanikio.Mgongo unauma kwa kuhamahama ,kuna wakati unauma sehemu ya chini ,katikati,na juu.Amepiga picha za x-ray,CT scan lakini madaktrinhwajaona kitu.Cha kutisha zaidi sasa ameanza kuumwa miguu chini ya magoti na anapata maumivu makali na hawezi kukakanyaga sakafu.
Naomba kwa mwenye ufahamu anijuze coz kwa madaktari tulikutana nao hajaweza kubaini tatizo nini
 
Mkuu KYALOSANGI Jaribu dawa zangu kutumia huenda Mke wako akapona hayo matatizo ya kuumwa ana miguu tumia kisha unipe feedback:

MAUMIVU YA MIGUU:

Kila Tiba kati ya zifuatazo ni yenye kujitegemea.Chagua iliyo rahisi kwako.Isipokufaa ndipo uchague nyengine
TIBA 1:
Tafuta nusu kijiko cha chai (2.5ml) ya habbat saudai na asali kijiko 1(10ml).
Tumia kutwa mara tatu (1×3) mpaka maumivu yatakapokwisha.

TIBA 2:

Tafuta ujazo wa sawa kwa sawa wa madawa 23 yafuatayo:
Habbat saudai,Bakal hadi,Manimani,Sufa,Harmal,Safarat Baydhwa,Binzari nyembamba,Shimari,Habbat Rehani,Basbasi jauzi,Kamun as-wad,Kamun ab-yadhwi,Zamda ya mbegu,Tangawizi,Karafuu,Daru fil fil,Uwatu,Khaldar,Zaatar,Hal-titi, Mdalasini,Kuz-bara,Hiliki.

Twanga madawa haya ili upate unga wake.Chukua kijiko 1 cha chai (5ml) changanya na kijiko cha chakula (10ml) cha asali. kula

Tumia kutwa mara tatu (1×3) mpaka dawa ishe.

TIBA 3😀awa ya kuchua

Changanya ujazo wa sawa kwa sawa wa madawa 16 yafuatayo:
Pakanga,Pachoor,Kachiyr,Mauwa walid,Haltiti,Bakal-Had,Mani mani,Sandal ya(unga),Habbat saudai,Basbas jauz,Fil fil-ab-yadhwi,Qusti,Tangawizi,Karafuu,Daru fil fil,Karkam.Changanya na vijiko 10 vya chai (5ml).

Twanga mchanganyiko huo halafu changanya na 230 ml za mafuta ya zaituni.Mgonjwa atajichua/chuliwa kutwa mara mbili (1×2).

Chanzo:Mzizimkavu Mtaalam na Mtafiti wa dawa za Asili Baruwa ya Pepe Email Address fewgoodman@hotmail.com

Ahsante kamanda ngoja nianze ni hii ya kwanza!
 
Jaribu dawa hizi shark cartilage, milk culcium na fur seal oil me mama yangu alikuwa anaumwa sana monk tibia sana hakupata uafadhali Akamai kupewa hizi supplement sasananasonga na ugali wakati tulishasahau chalupa cha mama
 
Mkuu KYALOSANGI Jaribu dawa zangu kutumia huenda Mke wako akapona hayo matatizo ya kuumwa ana miguu tumia kisha unipe feedback:

MAUMIVU YA MIGUU:

Kila Tiba kati ya zifuatazo ni yenye kujitegemea.Chagua iliyo rahisi kwako.Isipokufaa ndipo uchague nyengine
TIBA 1:
Tafuta nusu kijiko cha chai (2.5ml) ya habbat saudai na asali kijiko 1(10ml).
Tumia kutwa mara tatu (1×3) mpaka maumivu yatakapokwisha.

TIBA 2:

Tafuta ujazo wa sawa kwa sawa wa madawa 23 yafuatayo:
Habbat saudai,Bakal hadi,Manimani,Sufa,Harmal,Safarat Baydhwa,Binzari nyembamba,Shimari,Habbat Rehani,Basbasi jauzi,Kamun as-wad,Kamun ab-yadhwi,Zamda ya mbegu,Tangawizi,Karafuu,Daru fil fil,Uwatu,Khaldar,Zaatar,Hal-titi, Mdalasini,Kuz-bara,Hiliki.

Twanga madawa haya ili upate unga wake.Chukua kijiko 1 cha chai (5ml) changanya na kijiko cha chakula (10ml) cha asali. kula

Tumia kutwa mara tatu (1×3) mpaka dawa ishe.

TIBA 3😀awa ya kuchua

Changanya ujazo wa sawa kwa sawa wa madawa 16 yafuatayo:
Pakanga,Pachoor,Kachiyr,Mauwa walid,Haltiti,Bakal-Had,Mani mani,Sandal ya(unga),Habbat saudai,Basbas jauz,Fil fil-ab-yadhwi,Qusti,Tangawizi,Karafuu,Daru fil fil,Karkam.Changanya na vijiko 10 vya chai (5ml).

Twanga mchanganyiko huo halafu changanya na 230 ml za mafuta ya zaituni.Mgonjwa atajichua/chuliwa kutwa mara mbili (1×2).

Chanzo:Mzizimkavu Mtaalam na Mtafiti wa dawa za Asili Baruwa ya Pepe Email Address fewgoodman@hotmail.com

Mkuu mzizi heshima kwako!!daaahh mie nina tatizo kama hili ila hizi dawa namba 2 na 3 mkuu hata kutamka naweza teguka ulimi....mkuu hizi zinapatikana sayari hii hii??
 
Mkuu.@Kiteitei Hizo Dawa namba 2 na 3 zinapatikana kwenye Sayari ya Mars hapo Sokoni Kariakoo kaulize Madawa wanayo uza Dawa za Kiarabu

Wapemba au Waarabu hizo dawa Kiboko sana zina tibu maradhi mengi sana ni Nature Herb Mkuu hazina

madhara kwa binadamu yaani side Effect kama dawa mnazopewa Ma-hospitalini zina madhara kwa binadamu

ingawa zinatibu lakni zina madhara makubwa,tofauti na Dawa zangu hizo Mkuu. Ukikosa wasiliana na mimi kwa

njia ya Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Mkuu mzizi heshima kwako!!daaahh mie nina tatizo kama hili ila hizi dawa namba 2 na 3 mkuu hata kutamka naweza teguka ulimi....mkuu hizi zinapatikana sayari hii hii??
hahaha itabidi unapotamka ulimi uiingize ndani ya kilimi kwenye meno ya chini:becky: maana mi sijuli ni kilugaluga kimeandikwa.
 
Ningependa kufahamu vipimo ambavyo mama yako amewah kufanyiwa kwanzia ameanza kuumwa. "temuerick@yahoo.com"
 
Back
Top Bottom