Salamu!
Mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu (kama mwakammmoja na nusu) Amepatiwa matibabu mbalimbali bila mafanikio.Mgongo unauma kwa kuhamahama ,kuna wakati unauma sehemu ya chini ,katikati,na juu.Amepiga picha za x-ray,CT scan lakini madaktrinhwajaona kitu.Cha kutisha zaidi sasa ameanza kuumwa miguu chini ya magoti na anapata maumivu makali na hawezi kukakanyaga sakafu.
Naomba kwa mwenye ufahamu anijuze coz kwa madaktari tulikutana nao hajaweza kubaini tatizo nini