Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Sijuwi 😆😆
hahaha anakulannini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijuwi 😆😆
hahaha anakulannini
kwannSijuwi 😆😆
Inabidi tujiandae kisaikolojia kumpana na hizo changamoto.Kaka nimekubali kama hilo lakujifanya dini anaijua ndo huyo mama angu yupo bize swala tano aisee
Acha tuu yaani ni tunaigiza tuu mbele za watu ....ndio nikamwambia mleta mada atatue Hilo tatizo haraka lisije mkuta jambo😀😀Duuuh miaka 8 mnaishi kinafiki ndani ya nyumba 1?
Aiseeeh hongera sanaa.
Bora niendelee tuu kuigiza eehUnataka talaka uende wapi???
Kwani nilikuambia utusuluhishe?Mwanamke aliye kosa busara na hekima huwa hivyo! Huwezi taka kushindana na mtu aliye pewa nguvu ya mamlaka tangia kuumbwa kwake, hamuhitaji suluhu ninyi
😆🤣Kwani nilikuambia utusuluhishe?
Tucheke tuu maisha yenyewe mafupi haya hayataki hasira😆🤣
Hamna mkate mgumu kwa chai niamini kaka, sisi wanawake hatuwezi tunisha kwa mwanaume anaejitahidiMnavyopenda vacation..
Hiyo hela ya kwenda ku bet huko jamaa hana, au utawalipia 🤔Miezi saba mingi sanaaa, lazima ameumia sana sana..
Hili tatizo kubwa sanaaaa.. Limekuwa la kisaikolojia.
Sio peke yake kuwa hivyo duniani.. Wanaume huwa hamsikii mkianza kupewa warnings ila ndio matokeo yake hayo.
Badilisha maisha nae.. Anza kuanza kumwambia muende likizo nyie wawili sehemu.. Nchini kuna vivutio vingi pa kutulia.. Ili aje aseme yote uongee akili hapo.. Sehemu ya kula kulala tu kila baada ya muda kidogo uone itakuwaje..
Ikigoma kubadili hata kidunchu.. basi imetoka hiyooo kweli kweli
Huyu jamaa atakua anatumia sana ngano na Samaki 😆😆🤣🤣🤣 Ndoa ni maisha baada ya harusi, ile sherehe uliyoiota ndotoni.
Ndoa siyo drama mbele ya watu nyimi.
Ndoa ya kweli huanzia moyoni, ndoa ni fumbo....: Dizasta vina.
😆😆😆 huyu jamaa sidhani kama anakula ugali kama sisi wenzake.
Tatizo limegunduliwa hapa au amekosea badala ya mtoto akaandika watoto1. nina mtoto mmoja
2. watoto wataanza pata tabu!
Kisa cha kununiana na mkeo ni tabia yako ya uongo, yaani muongo muongo tu na uongo wako hujirudiarudia.
Anayejitahid kwenye nini, kutumia pesa au kwenye kitu gani mkuu?Hamna mkate mgumu kwa chai niamini kaka, sisi wanawake hatuwezi tunisha kwa mwanaume anaejitahidi
Badilisha lifestyle yenu kwa muda uone matokeo. Chukua nae likizo fupi msafiri mbali nyie wawili tu, iwe vacation ya kitalii muende mbuga za wanyama, or zanzbar muwe na muda wa karibu pamoja ili mtumie muda huo kuombana samahani nq kurekebisha makosa huku ukiahidi kuacha hivo vinavyomkwaza (najua ni uhuni tu wa wanawake). Onesha kujuta.Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .
Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.
So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hazina ya watoto.
Mwenzenu nimekwama. Naomba ushauri
Mr fishNimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .
Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.
So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hazina ya watoto.
Mwenzenu nimekwama. Naomba ushauri
Kabisaa shangaz HUYO hamna tofauti na kundi la hamas ama M23. Afyaa uhaiii kwanzaaaHata kama alikukuta kitandani na mwanamke mwingine hiyo ni too much.
She's planning to kill you.
Hesabu tu kuwa hiyo siyo riziki.