Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
- #21
Certificate au diploma naweza soma hapahapa chuoni kipindi naendelea na masomo yangu ya degree kwahyo naweza okoa muda maana Certificate ni 1year tu kwahyo ningemudu kusoma vyote pamoja piaCertificate ni kwa level ya mtaa/kijiji tu
Na soon wataanza kuchukua wa diploma.
Kata walukuwa wanachukua wa diploma ila upepo ushapinduka sasa wameanza na degree holder.
Ungetaka hizo kazi ungeachana na education mapema ili uokoe wakati.
Mambo yanabadilika.