Nipeni ushauri nisome kozi gani Certificate niweze kuwa Afisa Mtendaji wa Kata

Nipeni ushauri nisome kozi gani Certificate niweze kuwa Afisa Mtendaji wa Kata

Mm ni mwanafunzi wa chuo X kada ya ualimu mwaka wa pili (degree) lakini pia nazitamani sana hizi kazi za uafisa utendaji wa kata ikitokea ajira katika ualimu ikiwa ni changamoto kupata.

Sasa nataka kujiendeleza kielimu nikiwa hapahapa chuo kuna kozi nyingi tu zinatolewa sasa naomba mrejesho ni kozi gani itanipa sifa ya kulamba asali ya uafisa utendaji kwa ngazi ya certificate au lazima diploma.

View attachment 2614462
Kuna kata zingine watendaji wa kata ni waandishi wa habari.
Nchi ni ngumu sana hii
 
Unachukukua 23m unaanzaje tena kukaa kutegemea 700k kwa mwez ndo ikuendeshee maisha?
Hujui chochote kijana.

Milioni 23 ni kubwa sana, Kama HUNA.

Ukishawekewa kwenye account, hiyo pesa ni Kama BUKU tu.

Hapo, 23M inaisha, Deni bank ni Kama milioni 40. Mshahara unapata Laki na nusu.

Unasomesha, unalipa Kodi, unategemewa. Unageuka chizi
 
Nenda hombolo hata ukitaka digrii ya utendaji ipo ila omba usome main campus huko town campus pakiboya Sana Kama Ni mtu wa bata hutatoboa lazima ule disco na misupp kibao
 
Mwisho wa uhai wa mkopo ni miaka nane tu? Je nikitaka nilipe deni kwa miaka hata 15 na hela iwe ndefu haikubaliki au ndo sheria inataka hvo?
Ukikopa mkopo wa miaka 8 hakuna rangi utaacha kuiona. Tena kwa mchanganuo wako huo niliouona hapo!
 
Kuna kata zingine watendaji wa kata ni waandishi wa habari.
Nchi ni ngumu sana hii
Kuna watu wamesoma BAED, HSM (Health Service Mgt), nursing (tena certificate) halafu ni WEOs. Kuna mmoja niliambiwa inasemekana ana certificate ya hotel management. Ni wale wa mwendazake aliowatoa UVCCM wakavuruge uchaguzi, hadi leo wapo.

Nchi ina maajabu ya kila aina.
 
Pambania,usome kozi kama ulivuoshauriwa,marupurupu ni mengi kwenye utendaji..
 
Back
Top Bottom