Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
-
- #21
Certificate au diploma naweza soma hapahapa chuoni kipindi naendelea na masomo yangu ya degree kwahyo naweza okoa muda maana Certificate ni 1year tu kwahyo ningemudu kusoma vyote pamoja piaCertificate ni kwa level ya mtaa/kijiji tu
Na soon wataanza kuchukua wa diploma.
Kata walukuwa wanachukua wa diploma ila upepo ushapinduka sasa wameanza na degree holder.
Ungetaka hizo kazi ungeachana na education mapema ili uokoe wakati.
Mambo yanabadilika.
Mshahara kwangu sio kapua mbele changu mm nataka kupata mtaji tu kupitia mikopo ya serikalSheria, maendeleo ya Jamii, utawala, uongozi. Ila unapaswa kujua mishahara yao ni midogo sana, ukilinganisha na ualimu.
Sasa huoni kuwa unapoteza fedha bure kwa kusoma vitu vingiCertificate au diploma naweza soma hapahapa chuoni kipindi naendelea na masomo yangu ya degree kwahyo naweza okoa muda maana Certificate ni 1year tu kwahyo ningemudu kusoma vyote pamoja pia
Soma Diploma brotherKwahyo nisome diploma au certificate hapo ndo nitameet required qualification
Elimu ndo kila kitu mm sio short sighted person kusoma ni jambo muhimu na ndo maana nataka niwe na Uwanda mpana wa kuomba kazi ntapomaliza chuo biashara ni kitu muhimu lakin napo nishaweka mipango yako mwez wa 11 nafungua PlayStation centre mungu akijaaliaSasa huoni kuwa unapoteza fedha bure kwa kusoma vitu vingi
Hiyo fedha ya ada nyingine uitunze fungua salooni au biashara nyingine.
Kama lengo ni ajira basi ulupaswa ufanye utafiti wa kutosha wa kujua kozi inayolipa kwa haraka kabla hujaingia chuo.
Byee
Diploma inatosha kumbeSoma Diploma brother
Ndiyo, ingawa utakuwa Mtendaji wa Kijiji.Diploma inatosha kumbe
Hujawahi kufanya kazi, kwahiyo 90% hizi ni ndoto (wishes).Mshahara kwangu sio kapua mbele changu mm nataka kupata mtaji tu kupitia mikopo ya serikal
Hata 10m inatosha, pia kuna kuuza mashamba ya kijiji na utapeli mwngi naweza fanya pia ntakula kwa urefu wa kamba 😃😃😃😃Hujawahi kufanya kazi, kwahiyo 90% hizi ni ndoto (wishes).
Pili, kwa Basic salary ya Tsh 450,000 Bank utakopa kiasi gani Cha maana?
Naweza soma hata sasa pamoja ni maamuz tyNdiyo, ingawa utakuwa Mtendaji wa Kijiji.
Sifa ya Mtendaji wa Kata huwa ni Shahada kama sijakosea.
Kwahiyo ingekuwa una hiyo ndoto kitambo, ungeuliza kabla hujaenda kusoma Ualimu wako.
Anyways, Kila la kheri
Labda uombe Mungu upate maeneo mazuri,nchi hii Kuna Halmashauri za kichoko kinoma, kuanzia Utawala mpaka fursa zero hata shamba la kuuza hakuna.Hata 10m inatosha, pia kuna kuuza mashamba ya kijiji na utapeli mwngi naweza fanya pia ntakula kwa urefu wa kamba 😃😃😃😃
Umenena mkuuLabda uombe Mungu upate maeneo mazuri,nchi hii Kuna Halmashauri za kichoko kinoma, kuanzia Utawala mpaka fursa zero hata shamba la kuuza hakuna.
Mshahara,Tsh 450,000.
Take home,Tsh 400,000.
Hapo moja ya tatu ya Mshahara wako ninTsh 150,000 utakayokuwa unabaki nayo baada ya Mkopo wa let's say Milioni 10 kwa miaka 8!!!!
Kwahiyo, Kama utaajiriwa sehemu mbovu maisha yatakuwa magumu kwako mnoooo.
Utaanza kukumbuka Mshahara wa Mwalimu, Tsh 771,000 basic.
Kwa Basic ya Tsh 771,000 sidhani Kama unaweza kukopa zaidi ya Tsh 23M-Tsh25M kwa miaka 8.Umenena mkuu
Naomba nikuulze nikiajiriwa ualimu naweza kopa 35m kwa pamoja nakama siwez naweza kopa shngap
Kila la kheriNaweza soma hata sasa pamoja ni maamuz ty
Mwisho wa uhai wa mkopo ni miaka nane tu? Je nikitaka nilipe deni kwa miaka hata 15 na hela iwe ndefu haikubaliki au ndo sheria inataka hvo?Kwa Basic ya Tsh 771,000 sidhani Kama unaweza kukopa zaidi ya Tsh 23M kwa miaka 8.
Bank Zina kikomo. NMB ndio miaka 8.Mwisho wa uhai wa mkopo ni miaka nane tu? Je nikitaka nilipe deni kwa miaka hata 15 na hela iwe ndefu haikubaliki au ndo sheria inataka hvo?
Na kwa muda gani natakiwa niwe kazi ili niweze pata huo mkopo wa 23mBank Zina kikomo. NMB ndio miaka 8.
Bank nyingine ni miaka 7.
Na kama nikichukua 23m NMB, halafu nikaenda CRDB nikachukua 7m inakubalika?Bank Zina kikomo. NMB ndio miaka 8.
Bank nyingine ni miaka 7.
Hawezi kukopa zaidi ya moja ya tatu ya Mshahara wako.Na kama nikichukua 23m NMB, halafu nikaenda CRDB nikachukua 7m inakubalika?