Kugombana gombana sio sifa.Wakuu,
Leo ni Ijumaa? Kama kawa nimetoka..nipo na Pic kali nakumbukia ujana.
Kama kawaida yangu napiga bia zangu za buku sh tano...ila pic I napiga savana.
Pic ishakunywa kama savana 4 afu tushapata mbuz choma yaani mambo ni fresh...ila muda huu kuna savana mbili zimekuja mezani..sijajua zimetoka wapi..
Sasa naomba ushauri...nilianzishe ama ? Uwezo wa kununua savana zozote zile ninao
Nilitaka niku tag kumbe umefika?[emoji28]Embu acha fujo..she amalizie hizo Savannah mkale Raha za dunia..mambo mengine mtayamaliza kesho asubuhi.
Tangazo lipi babu ? Nipo kwenye hii situation nowlipia tangazo
Eeh. Wakale Raha ndicho kilichobakia..ugomvi na usiku wote huu siyo poaNilitaka niku tag kumbe umefika?[emoji28]
Hapo kwenye raha sasa umegonga penyewe
ahaa, sasa nimeelewaTangazo lipi babu ? Nipo kwenye hii situation now
Mhudumu kasema ni mtu katuma zije, ni nimemwambia yupo wapi huyo mtu kagoma kusema
Demu naye anasema either zirudi ama anywe ..hapo inabakia uamuzi wangu..ndo nasubiri wadau mnasemaje ?
Weweee mi si wa kawaida..sina njaa hata moja na sijawahi kwa nayo..Jiandaeni kuchukuliwa wote wewe na hiyo pisi leo mnaenda kupigwa miti
Na kweli.Eeh. Wakale Raha ndicho kilichobakia..ugomvi na usiku wote huu siyo poa
ExactlyNa kweli.
Duniani ni kufurahia maisha mpendwa.
Baba hii pic si cha kawaida mzee...watu wanahaha hapa..ahaa, sasa nimeelewa
sema nini, huna kapicha , ya pisi, kama hutajali
kapicha mkuuBaba hii pic si cha kawaida mzee...watu wanahaha hapa..
Lile geti lifunguliwe basi mpendwaExactly
Mkuu uwezo huo ninao ila mhudumu kagoma kumtaja..Fanya kujibu mapigo mzungushie raundi ata mbili tu😁😁 heshima inawekwa bar