Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Pombe zina maajabu sana.Yeah, niliposema nakunywa bia za buku sh tano haikuwa bei bali ni indentity ili na nyie mjue ni bia ainq gani, .hivi Pic kali yenye jina utaipekela uswazi jmn
Hapa tulipo ni members tu, walinzi wangu wamemzuia ila analia anataka tuondoke...nimegoma
Nahisi kuna ujmbe wangu hapa
..subirini nawajuza
Mara hii una walinzi?