Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Makapuku inakufaa zaidiYa "maarufu" yoyote
Niuze sura
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
.........................
Mkuu nielekeze gengeni nije kupata mahitajiNinamiliki genge la kuuza nyanya na makorokoro kibao ....ww "mwerevu" ndo unatafuta pesa hapa JF !!
Bonge la dongo aseeWhat's up watu wangu wa nguvu?
Sio siri kuna member hapa JF washakuwa mastaa yaani wanapendwa au kufuatiliwa thread au comment zao na watu wengi sana hapa jukwaani lakini je wananufaika vipi na ustar wao ? Tumezoea tu kuona mastar wakitumia fursa Instagram...Facebook na kidogo WhatsApp.
Nahisi wamelala sana!!!
Nipeni ustaa wa JF basi nitumie fursa vizuri coz nawaona mmeridhika na likes na trophy points tu....
Binafsi sijawahi kuona mmeweka tangazo la biashara (km yupo nisaidieni).....
Niuzieni (ID) ustaa wenu wa JF basi!!!
***Don't Panic***
Superstar wa kitaa !!
The Bitoz
Sio ya Nazizi??Mkuu utakua na nyota ya K-sal
Hahahahahaha [emoji115] [emoji115] [emoji115]Kweli ww ni staa Mkubwa humu
Una "likes" 09
Umetisha