Nipeni ustar wa JF

Nipeni ustar wa JF

What's up watu wangu wa nguvu?

Sio siri kuna member hapa JF washakuwa mastaa yaani wanapendwa au kufuatiliwa thread au comment zao na watu wengi sana hapa jukwaani lakini je wananufaika vipi na ustar wao ? Tumezoea tu kuona mastar wakitumia fursa Instagram...Facebook na kidogo WhatsApp.

Nahisi wamelala sana!!!
Nipeni ustaa wa JF basi nitumie fursa vizuri coz nawaona mmeridhika na likes na trophy points tu....
Binafsi sijawahi kuona mmeweka tangazo la biashara (km yupo nisaidieni).....

Niuzieni (ID) ustaa wenu wa JF basi!!!
***Don't Panic***

Superstar wa kitaa !!
The Bitoz
Bonge la dongo asee
 
Back
Top Bottom