Nipo bize sana....why inaudhi....??????

Nipo bize sana....why inaudhi....??????

Hivi kawa nini kwenye mapenzi
ikitokea umeambiwa au umemwambia mwenzio

niko bize sana.......

Always huwa inaleta ugomvi au kutokuelewana??????????

I mean kama mtu uko bize sana kikweli kweli...
Lugha ipi sahihi????

Mi naona hasa wanawake wanachukia mno na hili???

Si wanawake tu hata wanaume pia na hasa katika dunia hii ya tatu ya afrika
na hii ni kwasababu dunia ya tatu hakuna aliye ''busy'' na ndiyo maana lazima
mtu achukie na ''busy'' za afrika......busy busy busy.... but for nothing.

tutakuwa ''busy'' wakati ''busy is ready dead''
 
The Boss,

Hii thread sijui kwanini nimechelewa kuiona you have spoken my mind kabisa.

Hii kitu mimi nimeshindwa kuelewa kabisa yaani huyu mjamaa anakupigia simu unamwambia let me call you back im in a meeting!!!! Somo halipandi kabisa nachoka mie mwenzenu yaaani kha!!!!

Sasa umwambie una kikao mpaka zaidi ya saa 11 uwiiiiiiiiiiii hayo maneno yatakayomtoka mpaka unashangaa kulikoni.

Na huwa namwambia in a lovely and romantic word my darling, my husband, my honey nk i will be in a meeting in some minute to come so unaweza nipigia ukakuta sipokei simu usishangae lakn hiyo reaction yake utajuta kuzaliwa.

Naomba kwa heshima na taadhima kuwasilisha
 
duuhhh
haya tena
sema uko busy
lakini explain little bit
kwa nini uko busy ......

usijaribu kum promise
saa ngapi utamaliza unacho
fanya.. maana wa weza chelewa
maliza halafu ugomvi ukatokea...

STICK TO YOUR WORDS...
 
The Boss,

Hii thread sijui kwanini nimechelewa kuiona you have spoken my mind kabisa.

Hii kitu mimi nimeshindwa kuelewa kabisa yaani huyu mjamaa anakupigia simu unamwambia let me call you back im in a meeting!!!! Somo halipandi kabisa nachoka mie mwenzenu yaaani kha!!!!

Sasa umwambie una kikao mpaka zaidi ya saa 11 uwiiiiiiiiiiii hayo maneno yatakayomtoka mapaka unashangaa kulikoni.

Na huwa namwambia in a lovely and romantic word my darling, my husband, my honey nk i will in a meeting in some minute to come so unaweza nipigia ukakuta sipokei simu usishangae lakn hiyo reaction yake utajuta kuzaliwa.

Naomba kwa heshima na taadhima kuwasilisha

hey sis
na dhani huo ni
uwivu tu wa mapenzi
ni kitu kizuri sana lakini
kikizidi kinakuwa kitu kibaya ..
 
Hivi kawa nini kwenye mapenzi
ikitokea umeambiwa au umemwambia mwenzio

niko bize sana.......

Always huwa inaleta ugomvi au kutokuelewana??????????

I mean kama mtu uko bize sana kikweli kweli...
Lugha ipi sahihi????

Mi naona hasa wanawake wanachukia mno na hili???

Mkuu umenisemea, nshaachwa mara kibao kwa hiyo sentensi.
 
Kama uko bize sana mjulishe mwenzio kila wakati hata kwa simu atakuelewa, sio uko bize kimya mpaka uulizwe ndio useme hapa hatutaelewana aisee
 
Tumia soft language bana kuwasilisha hiyo niko busy yako
Sio mpenzi anakupigia dear leo utapitia nyumbani kwangu nina jambo tuliongelee
Unajibu tu nipo busy sitaweza inabore Kha!
“Sema mpenzi ,dear ,sweet lotion vyovyote unavyoita ,samahani Leo niko busy lakini nitajitahidi kupata muda nije ,kama nitashindwa leo
Basi nitatafuta nafasi nzuri tuongee ,
 
Kwa kutegemea na subject, ni vyema kusema; "sorry honey, i was just in the middle of something, can i finish it then i will call you back plz. give me a couple of minutes, plz honey" hapo lazima graph itapanda!

Kwa kiswahili inakuwa ngumu kueleweka....:love:
 
Tumia soft language bana kuwasilisha hiyo niko busy yako
Sio mpenzi anakupigia dear leo utapitia nyumbani kwangu nina jambo tuliongelee
Unajibu tu nipo busy sitaweza inabore Kha!
"Sema mpenzi ,dear ,sweet lotion vyovyote unavyoita ,samahani Leo niko busy lakini nitajitahidi kupata muda nije ,kama nitashindwa leo
Basi nitatafuta nafasi nzuri tuongee ,

Au anakujibu nishaondoka ofisini niko mbali!
 
uwongo sio mzuri na ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu, bora useme ukweli na uapologize kwa polite language..
 
Hivi kawa nini kwenye mapenzi
ikitokea umeambiwa au umemwambia mwenzio

niko bize sana.......

Always huwa inaleta ugomvi au kutokuelewana??????????

I mean kama mtu uko bize sana kikweli kweli...
Lugha ipi sahihi????

Mi naona hasa wanawake wanachukia mno na hili???

Lugha sahihi ufahamike ni lugha ya upendo na upole. Mara nyengine mtu anaweza kutoa tafsiri kinyume na ulivyokusudia kutokana na "tune" yako. Zungumza naye kwa lugha mnayowasiliana, iwe Kiingereza au Kiswahili na mbaya zaidi ikiwa mna kawaida ya kuwasiliana kwa Kiswahili baadaye unamtoholea maneno kwa Kiingereza; kwa asiyefahamu nia yako anaweza kuona ni dharau.

Vilevile inategemea ni kwa kiwango gani unajieleza hivyo. Bila shaka ikiwa ni mtu wako wa karibu atakuwa anaelewa aina na ratiba yako ya kazi. Ikiwa unamwambia uko bize kwa nadra, anaweza kukuamini, lakini ikiwa kila siku ndio nyimbo yako atachukulia kuwa una ajenda ya siri.
 
Back
Top Bottom