Societa Jesuit
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 200
- 5
Hivi kawa nini kwenye mapenzi
ikitokea umeambiwa au umemwambia mwenzio
niko bize sana.......
Always huwa inaleta ugomvi au kutokuelewana??????????
I mean kama mtu uko bize sana kikweli kweli...
Lugha ipi sahihi????
Mi naona hasa wanawake wanachukia mno na hili???
Si wanawake tu hata wanaume pia na hasa katika dunia hii ya tatu ya afrika
na hii ni kwasababu dunia ya tatu hakuna aliye ''busy'' na ndiyo maana lazima
mtu achukie na ''busy'' za afrika......busy busy busy.... but for nothing.
tutakuwa ''busy'' wakati ''busy is ready dead''