Societa Jesuit
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 200
- 5
Hivi kawa nini kwenye mapenzi
ikitokea umeambiwa au umemwambia mwenzio
niko bize sana.......
Always huwa inaleta ugomvi au kutokuelewana??????????
I mean kama mtu uko bize sana kikweli kweli...
Lugha ipi sahihi????
Mi naona hasa wanawake wanachukia mno na hili???
Kwani unao wangapi rafikiKuna wengine hata kuelewa hawaelewi...
Ukisema tu uko bize ni ugomvi....
The Boss,
Hii thread sijui kwanini nimechelewa kuiona you have spoken my mind kabisa.
Hii kitu mimi nimeshindwa kuelewa kabisa yaani huyu mjamaa anakupigia simu unamwambia let me call you back im in a meeting!!!! Somo halipandi kabisa nachoka mie mwenzenu yaaani kha!!!!
Sasa umwambie una kikao mpaka zaidi ya saa 11 uwiiiiiiiiiiii hayo maneno yatakayomtoka mapaka unashangaa kulikoni.
Na huwa namwambia in a lovely and romantic word my darling, my husband, my honey nk i will in a meeting in some minute to come so unaweza nipigia ukakuta sipokei simu usishangae lakn hiyo reaction yake utajuta kuzaliwa.
Naomba kwa heshima na taadhima kuwasilisha
kuna ubize mwingine hata mda wa kusema yote hayo hupati....
Hivi kawa nini kwenye mapenzi
ikitokea umeambiwa au umemwambia mwenzio
niko bize sana.......
Always huwa inaleta ugomvi au kutokuelewana??????????
I mean kama mtu uko bize sana kikweli kweli...
Lugha ipi sahihi????
Mi naona hasa wanawake wanachukia mno na hili???
Kwa kutegemea na subject, ni vyema kusema; "sorry honey, i was just in the middle of something, can i finish it then i will call you back plz. give me a couple of minutes, plz honey" hapo lazima graph itapanda!
Tumia soft language bana kuwasilisha hiyo niko busy yako
Sio mpenzi anakupigia dear leo utapitia nyumbani kwangu nina jambo tuliongelee
Unajibu tu nipo busy sitaweza inabore Kha!
"Sema mpenzi ,dear ,sweet lotion vyovyote unavyoita ,samahani Leo niko busy lakini nitajitahidi kupata muda nije ,kama nitashindwa leo
Basi nitatafuta nafasi nzuri tuongee ,
how mfano ukimwambia aisee nipo bize mno leo,nitakupigia....
How is that?