Nipo Bukoba mjini hakuna mademu wazuri Kila ninaye muona hanivutii, viwanja gani wanapatikana?

Umeenda Burundi unadai Bukoba! Acha kabisa Bukoba ninayoijua mimi ikose warembo.

Cc: Mbrazil.
Nipo Bukoba hakuna mademu wazuri labda nielekeze viwanja
Nimezunguka Beach hakuna
Lounge liquid Kuna mikahaba mizee na waganda wa wastan
Linas hakuna kitu
Maeneo ya rwamishenye,kibeta,uswahilini,kashai,kashura,mjini kati,nyamkazi, na sehem nyingi nimezunguka sioni kitu
 
Una uhakika uko Bukoba au Burundi?
 
Ndio nyumbani huko ,upajue vizuri tu.zoea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…