Nipo Bukoba mjini hakuna mademu wazuri Kila ninaye muona hanivutii, viwanja gani wanapatikana?

Nipo Bukoba mjini hakuna mademu wazuri Kila ninaye muona hanivutii, viwanja gani wanapatikana?

Mie nikiwa moto asee siangalii sura!Mkia tu then nikikuta ya kutuna nimwendo wa kufumuana tu!sasa we brazamen unaangalia miguu???
 
Nenda the mint ama kashai kule kuna toto nyeupe na miguu ya bia hatari.

ila bk wengi washamba sana, pia wanapenda mtanange balaa
 
Kichwa cha habari
Nipo Bukoba mjini lakini sioni watoto wenye miguu ya bia Kama wale wahaya wa Sinza, Temeke, Buguruni au wote wenye miguu ya bia wapo DSM huku wamebakia wenye miguu ya kuku?

Au viwanja gani wanapatikana?
Kwani mama yako mzuri mbona alipata mume na ukazaliwa
 
Huwa wamejaza tu miguu lkn mvuto wa sura hakuna kabisa lbda utanogewa muda wa mapenzi tu
 
Back
Top Bottom