rutegeramisi gwategera
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 446
- 494
- Thread starter
- #81
Tatizo bia hazipandi mawindo yangu ni totoz tu yaani huwa ninabagua sanaWapo ila mpaka ulewe sana. Mimi nilihangaika sana kwa siku mbili mfululizo, akili ikanijia nitwange bia, baada ya kubugia bia za kutosha nikaanza kuziona totozi zilizo jazia miguu... Sikukumbuka tena kukagua sura zao
Sent using Jamii Forums mobile app