Nipo Busisi ashukuriwe Magufuli kwa kuona mbali ili maisha ya watu wa kawaida yawe mepesi

Sarcasm
 
Chuki huondoa hata uwezo kidogo wa akili aliyonayo mwanadamu.
 
China au India na Mataifa mengine yanayo jitambua wana Project za aina mbili.

1. Project za miundo mbinu
2.Projects za kuondoa umasikini.

Sasa Bongo ya wajinga wanaaminishwa kwamba ukisha jenga Daraja au lami umasikini kwsisha automatic.

Hayo mataifa wanavyo kuwa na project mbili mbili kwani hawajui hilo?

Masha plan baada ya vita kuu ya poli ya Dunia ilikuwa na projects za kujenga miundombinu Ulaya na pia Project za kuondoa umasikini wa vipato.

Ndio maana hata ukienda migodini kama kule North Mara km 3 kutoka Mgodi ulipo unakutana na umasikini mkubwa sana. Make waliaminishwa unasikini utaondoka automatic kupitia mgodi.


Endeleni kuhadaiwa na CCM
 
Kwahiyo lilipovunjika daraja la wami...

Magufuli alipaswa kuachana nalo maana ni project ambayo haiondoi umasikini?
 
Hapo ujinga uko wapi? Usitumie kichwa kubebea kamasi, utaondoa umasikini bila kuwa na miundombinu bora?
 
Mbona India bado kuna extremely poverty?

Hebu acha porojo umaskini upo duniani kote hata ulaya maskini wapo tunatofautiana viwango tu .

India eti project za umaskini, india hii hii au ya wapi?

Yaani mnajifanya much know sana kumbe mweupe tu
 
Hilo daraja ni moja kati ya miradi bora kabisa ya CCM. Pia kuna daraja la Simiyu, naona ujenzi umeanza

Sasa wajikite kutengeneza barabara ya Mwanza-Musoma, na Mwanza-Shinyanga
Kama ndivyo ni kwanini basi mnawateka na kuwaua watu mnaowaona ni Wapinzani wa CCM?? Kwanini mnawazuia kuingia kwenye uchaguzi?? Kwanini miradi hiyo isiwe silaha tosha ya kukinadu CCM??

Ukweli ni kwamba Uhai wa Binadamu siyo kipaumbele kwa CCM bali Madaraka kwao ndiyo kila kitu. Miradi yeyote inayotekelezwa ni ya Wananchi walipa kodi na kamwe siyo miradi iliyotokana na michango ya wanaccm.
 

Hongera kwa JPM, one of the visionary and revolutionary leaders on earth 🌎.
Ulionesha dunia kwamba mtu mweusi ana maono na uwezo.
 
Uwepo wa ATCL ni kutimia kwa mradi mkubwa, pesa ya utalii na mzunguko mzima wa biashara ya kusafirisha watu kwa ndege kuna siku itakuja kumfikia mwananchi wa kawaida kule kijijini, kwa ujenzi wa zahanati na shule bora kwa ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa ya kufikishia maji.

Umaskini wa mtu mmoja mmoja huondolewa kwa mikakati ya kiuchumi ya kiserikali.

Kuna siku aina fulani ya kiwanda kinachotumia umeme wa REA kitayagusa maisha ya mwanakijiji wa eneo husika.

Kuna siku barabara ya lami inayokatiza katika vijiji kadhaa itawasaidia katika kusafirisha mazao yao kuyaleta mijini.

Kisa kuna umaskini ndio serikali iache kutekeleza miradi mikubwa?.
 
Hilo daraja ni moja kati ya miradi bora kabisa ya CCM. Pia kuna daraja la Simiyu, naona ujenzi umeanza

Sasa wajikite kutengeneza barabara ya Mwanza-Musoma, na Mwanza-Shinyanga
Sasa hapo ndyo unapokosea kuita miradi ya serkali n ya ccm acha ulimbukeni bs
 
Hapo Busisi ukifika saa 8 usiku unakaa Hadi 12 asb ndo kivuko kianze kazi utoporo tu
 
Hilo daraja ni moja kati ya miradi bora kabisa ya CCM. Pia kuna daraja la Simiyu, naona ujenzi umeanza

Sasa wajikite kutengeneza barabara ya Mwanza-Musoma, na Mwanza-Shinyanga
Miradi ya Dr magufuli na siyo ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…