Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
SarcasmWatu wa chini wapi? Mbona Porverty ni kubwa sana sikiliza nyie vilaza, Miradi ya vitu haiondoi umasikini. China wana Projects za aina mbili za Miundo mbinu na projects za kuondoa umasikini kwa raia wao, the same na India.
Nyie vilaza wa Taifa mnahadaiwa na miradi ya miundo mbinu ilihali pembeni tu ya mradi kuna umasikini wa kutisha.