Nipo Busisi ashukuriwe Magufuli kwa kuona mbali ili maisha ya watu wa kawaida yawe mepesi

Nipo Busisi ashukuriwe Magufuli kwa kuona mbali ili maisha ya watu wa kawaida yawe mepesi

Watu wa chini wapi? Mbona Porverty ni kubwa sana sikiliza nyie vilaza, Miradi ya vitu haiondoi umasikini. China wana Projects za aina mbili za Miundo mbinu na projects za kuondoa umasikini kwa raia wao, the same na India.

Nyie vilaza wa Taifa mnahadaiwa na miradi ya miundo mbinu ilihali pembeni tu ya mradi kuna umasikini wa kutisha.
Sarcasm
 
Tatizo kubwa la sisi watanzania ni ubinafsi na upeo finyu. Tunawakuwa wa kutoa sifa kwa kutumia vigezo vidogo vya kibinafsi tena pale tunapofaidika tu. Kna faida gani kujenga daraja wakati Magufuli alivuruga nchi kwa kuasisi mfumo wa kupora kura na mauaji? Hayo yanayofuta hata hayo madogo aliyofanya.
Chuki huondoa hata uwezo kidogo wa akili aliyonayo mwanadamu.
 
China au India na Mataifa mengine yanayo jitambua wana Project za aina mbili.

1. Project za miundo mbinu
2.Projects za kuondoa umasikini.

Sasa Bongo ya wajinga wanaaminishwa kwamba ukisha jenga Daraja au lami umasikini kwsisha automatic.

Hayo mataifa wanavyo kuwa na project mbili mbili kwani hawajui hilo?

Masha plan baada ya vita kuu ya poli ya Dunia ilikuwa na projects za kujenga miundombinu Ulaya na pia Project za kuondoa umasikini wa vipato.

Ndio maana hata ukienda migodini kama kule North Mara km 3 kutoka Mgodi ulipo unakutana na umasikini mkubwa sana. Make waliaminishwa unasikini utaondoka automatic kupitia mgodi.

Endeleni kuhadaiwa na CCM
 
Kwahiyo lilipovunjika daraja la wami...

Magufuli alipaswa kuachana nalo maana ni project ambayo haiondoi umasikini?
 
Sikiliza wewe mjinga Ethiopia walikuwa na Project kubwa kuliko hizo, ila raia wakawa wanakimbia sana nchi, mpaka baadse Waziri mkuu wao amenza kuja na Projects za kuondoa umasikini na very soon hamtawaona wa ethiooia wanakimbia nchi tena.

Sasa wa hadae wajinga wa hili Taifa, Projects kubwa sana ila life la watu ni gumu sana ina maana gani?
Hapo ujinga uko wapi? Usitumie kichwa kubebea kamasi, utaondoa umasikini bila kuwa na miundombinu bora?
 
Watu wa chini wapi? Mbona Porverty ni kubwa sana sikiliza nyie vilaza, Miradi ya vitu haiondoi umasikini. China wana Projects za aina mbili za Miundo mbinu na projects za kuondoa umasikini kwa raia wao, the same na India.

Nyie vilaza wa Taifa mnahadaiwa na miradi ya miundo mbinu ilihali pembeni tu ya mradi kuna umasikini wa kutisha.
Mbona India bado kuna extremely poverty?

Hebu acha porojo umaskini upo duniani kote hata ulaya maskini wapo tunatofautiana viwango tu .

India eti project za umaskini, india hii hii au ya wapi?

Yaani mnajifanya much know sana kumbe mweupe tu
 
Hilo daraja ni moja kati ya miradi bora kabisa ya CCM. Pia kuna daraja la Simiyu, naona ujenzi umeanza

Sasa wajikite kutengeneza barabara ya Mwanza-Musoma, na Mwanza-Shinyanga
Kama ndivyo ni kwanini basi mnawateka na kuwaua watu mnaowaona ni Wapinzani wa CCM?? Kwanini mnawazuia kuingia kwenye uchaguzi?? Kwanini miradi hiyo isiwe silaha tosha ya kukinadu CCM??

Ukweli ni kwamba Uhai wa Binadamu siyo kipaumbele kwa CCM bali Madaraka kwao ndiyo kila kitu. Miradi yeyote inayotekelezwa ni ya Wananchi walipa kodi na kamwe siyo miradi iliyotokana na michango ya wanaccm.
 
Salaam.

Leo nimepata safari ya kuja kigongo Busisi aiseee ukiwa dar es salaam huwezi elewa umuhimu wa hili daraja.

Magufuli aliona mbali sana na alipenda maisha ya watu wa chini yawe na nafuu ndio maana miradi yake mingi ililenga watu wa hadhi ya chini kama Stendi (stend za mabus nchi hii ziliota kama uyoga kwenye uongozi wake) na haya madaraja.

Nimeona umuhimu wa hili daraja na Magufuli baada ya kukaa ferry saa moja na dakika 32 kuvuka tu umbali wa Km 3.2 aiseee.

Hongera zake Magufuli ameacha alama.

Rais Dr Samia Suluhu Hassan na wewe ujenge pale kivukoni (ferry) Jijini Dar es salaam uache alama kubwa Kwa Watanzania.

Hongera kwa JPM, one of the visionary and revolutionary leaders on earth 🌎.
Ulionesha dunia kwamba mtu mweusi ana maono na uwezo.
 
Watu wa chini wapi? Mbona Porverty ni kubwa sana sikiliza nyie vilaza, Miradi ya vitu haiondoi umasikini. China wana Projects za aina mbili za Miundo mbinu na projects za kuondoa umasikini kwa raia wao, the same na India.

Nyie vilaza wa Taifa mnahadaiwa na miradi ya miundo mbinu ilihali pembeni tu ya mradi kuna umasikini wa kutisha.
Uwepo wa ATCL ni kutimia kwa mradi mkubwa, pesa ya utalii na mzunguko mzima wa biashara ya kusafirisha watu kwa ndege kuna siku itakuja kumfikia mwananchi wa kawaida kule kijijini, kwa ujenzi wa zahanati na shule bora kwa ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa ya kufikishia maji.

Umaskini wa mtu mmoja mmoja huondolewa kwa mikakati ya kiuchumi ya kiserikali.

Kuna siku aina fulani ya kiwanda kinachotumia umeme wa REA kitayagusa maisha ya mwanakijiji wa eneo husika.

Kuna siku barabara ya lami inayokatiza katika vijiji kadhaa itawasaidia katika kusafirisha mazao yao kuyaleta mijini.

Kisa kuna umaskini ndio serikali iache kutekeleza miradi mikubwa?.
 
Hilo daraja ni moja kati ya miradi bora kabisa ya CCM. Pia kuna daraja la Simiyu, naona ujenzi umeanza

Sasa wajikite kutengeneza barabara ya Mwanza-Musoma, na Mwanza-Shinyanga
Sasa hapo ndyo unapokosea kuita miradi ya serkali n ya ccm acha ulimbukeni bs
 
Hapo Busisi ukifika saa 8 usiku unakaa Hadi 12 asb ndo kivuko kianze kazi utoporo tu
 
Hilo daraja ni moja kati ya miradi bora kabisa ya CCM. Pia kuna daraja la Simiyu, naona ujenzi umeanza

Sasa wajikite kutengeneza barabara ya Mwanza-Musoma, na Mwanza-Shinyanga
Miradi ya Dr magufuli na siyo ccm
 
Back
Top Bottom