Nipo Buzuruga Mwanza kwa Kazi maalum

Nipo Buzuruga Mwanza kwa Kazi maalum

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,001
Reaction score
2,010
Habari wana JF. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mwanza leo siku ya nne...kiufupi ni mgeni kabisa katika mkoa huu wa mawe (Rock city).

Sina kampani kabisa natamani kupata marafiki wawili wa tatu waku socialize, siunajua binadamu sometimes sio vyema kuwa mwenyewe.

Mimi ni mtu wa vyombo kidogo hivyo ni vizuri nikapata wa kufanana nao, awe wa kike au wakiume...kwangu fresh tu. (Ila wakike nitaenjoy zaidi[emoji4])

Karibuni wadau nipo kwa muda kidogo almost six month.
 
Back
Top Bottom