Nipo Buzuruga Mwanza kwa Kazi maalum

Nipo Buzuruga Mwanza kwa Kazi maalum

Habari wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mwanza leo siku ya nne...kiufupi ni mgeni kabisa katika mkoa huu wa mawe (Rock city).

Sina kampani kabisa....natamani kupata marafiki wawili wa tatu waku socialize, siunajua binadamu sometimes sio vyema kuwa mwenyewe.

Mimi ni mtu wa vyombo kidogo hivyo ni vizuri nikapata wa kufanana nao, awe wa kike au wakiume...kwangu fresh tu. (Ila wakike nitaenjoy zaidi[emoji4])

Karibuni wadau....nipo kwa muda kidogo almost six month.
Narudia tena njoo Diamond hapa sasa hivi
IMG_20210904_185454_676.jpg
 
Habari wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mwanza leo siku ya nne...kiufupi ni mgeni kabisa katika mkoa huu wa mawe (Rock city).

Sina kampani kabisa....natamani kupata marafiki wawili wa tatu waku socialize, siunajua binadamu sometimes sio vyema kuwa mwenyewe.

Mimi ni mtu wa vyombo kidogo hivyo ni vizuri nikapata wa kufanana nao, awe wa kike au wakiume...kwangu fresh tu. (Ila wakike nitaenjoy zaidi[emoji4])

Karibuni wadau....nipo kwa muda kidogo almost six month.
Hata mimi napendaga kampani ila sio ya mapenzi ungekuwa Arusha ningekujoin
 
Umesema upumzike kwanza,acha kuzingua Mkuu upo wapi nikufuate hapo?
Nipo city center boss, kuna mrembo kawahi siti ndio niko nae hapa...ndio alinilocate nije huku igoma
 
Back
Top Bottom