Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Unaleta swaga za ole sabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta wa dodoma mkuuNingekupa connection za dem mmoja yupo hapo kama unaitaji wa nje ya jf
Nina za wawili tu mwanzaLeta wa dodoma mkuu
Buzuruga sehemu gani Mkuu?Habari wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mwanza leo siku ya nne...kiufupi ni mgeni kabisa katika mkoa huu wa mawe (Rock city).
Sina kampani kabisa....natamani kupata marafiki wawili wa tatu waku socialize, siunajua binadamu sometimes sio vyema kuwa mwenyewe.
Mimi ni mtu wa vyombo kidogo hivyo ni vizuri nikapata wa kufanana nao, awe wa kike au wakiume...kwangu fresh tu. (Ila wakike nitaenjoy zaidi[emoji4])
Karibuni wadau....nipo kwa muda kidogo almost six month.
Tukutane golden Rocky leo jioni sawaHabari wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mwanza leo siku ya nne...kiufupi ni mgeni kabisa katika mkoa huu wa mawe (Rock city).
Sina kampani kabisa....natamani kupata marafiki wawili wa tatu waku socialize, siunajua binadamu sometimes sio vyema kuwa mwenyewe.
Mimi ni mtu wa vyombo kidogo hivyo ni vizuri nikapata wa kufanana nao, awe wa kike au wakiume...kwangu fresh tu. (Ila wakike nitaenjoy zaidi[emoji4])
Karibuni wadau....nipo kwa muda kidogo almost six month.
Buzuruga shuleIpo maeneo gani hapa?