Nipo Buzuruga Mwanza kwa Kazi maalum

Nipo Buzuruga Mwanza kwa Kazi maalum

Ningekupa connection za dem mmoja yupo hapo kama unaitaji wa nje ya jf
 
Habari wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mwanza leo siku ya nne...kiufupi ni mgeni kabisa katika mkoa huu wa mawe (Rock city).

Sina kampani kabisa....natamani kupata marafiki wawili wa tatu waku socialize, siunajua binadamu sometimes sio vyema kuwa mwenyewe.

Mimi ni mtu wa vyombo kidogo hivyo ni vizuri nikapata wa kufanana nao, awe wa kike au wakiume...kwangu fresh tu. (Ila wakike nitaenjoy zaidi[emoji4])

Karibuni wadau....nipo kwa muda kidogo almost six month.
Buzuruga sehemu gani Mkuu?
 
Nenda hapo DV8 au sogea maeneo ya Bundesliga hutajuta sema nimetoka nje ya mji hayo ni maeneo yangu ya kujivinjari
 
Habari wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mwanza leo siku ya nne...kiufupi ni mgeni kabisa katika mkoa huu wa mawe (Rock city).

Sina kampani kabisa....natamani kupata marafiki wawili wa tatu waku socialize, siunajua binadamu sometimes sio vyema kuwa mwenyewe.

Mimi ni mtu wa vyombo kidogo hivyo ni vizuri nikapata wa kufanana nao, awe wa kike au wakiume...kwangu fresh tu. (Ila wakike nitaenjoy zaidi[emoji4])

Karibuni wadau....nipo kwa muda kidogo almost six month.
Tukutane golden Rocky leo jioni sawa
 
Back
Top Bottom