Nipo Chato natafakari mengi, kwa hili pekee Katoliki na Usalama wangelisaidia Taifa kama wangeamua

Alipokua hai kanisa lilitumiwa na waumini wa madhehebu yote!!.
 
Kwa taarifa Yako, hilo kanisa alijenga na mhemko wa kisiasa. Alitaka liwe kanisa la wakristo wa madhehebu yote. Alitaka na waisalamu wasali humohumo. Wakatoliki wakakataa, ndiyo hao wengine wakakubali
Fafanua, kivipi wasali kwa pamoja kwenye jengo moja?
 
Mtu aliyekuwa Kichaa lakini akawa Waziri miaka ishirini na Rais miaka sita! Ahahahahaha!

Ila watu wenye akili kama wewe mmeishia kuwa wabangaizaji na majina bandia JF! Ahahahahaha!!!
 
Kwa Sasa Waislam wametupa Nini mkuu
 
We ni mpumbavu sana tena mjinga. Acha kuponda usichokijua kwa kutunga story na kuleta hapa mradi tu kumkashifu marehemu Magufuli. Unaanzisha thread bila mantiki lengo likiwa kashfa kwa Magufuli. Ujinga uliopitiliza...
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuzima nyota ya mzee babaπŸ€”πŸ€”πŸ€”??? Mlikuwa wadogo wakati ule wimbo wa "pembe la ng'ombe halifichiki"? Mnatumia nguvu nyingi mno! Fanyeni yenu jamii itaona na kuwasifu kwa uwezo na si kwa kuchafua mzee wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…