Nipo Chato natafakari mengi, kwa hili pekee Katoliki na Usalama wangelisaidia Taifa kama wangeamua

biashara kichaa.
 
Fafanua kidogo, maelezo yako yanafikirisha.
 
Naongea abstract. Si kitabu cha Kabendera.

Ukikutana na kitabu cha kurasa 1500 kimejaa facts pote, kimekosea jina la mtu sehemu moja tu, utakikataa hicho kitabu kwa sababu ya kosa moja hilo tu?
Kwa angle hiyo siwezi kukikataa.
 
Tafuta pesa simbaaa...manyoko
 
mmeshasahau kitabu Cha kabendera,alitimuliwaga misheni skul na akili ilifyatukaga kitambo
Kwa kweli JF ya sasa imekuwa kama kokoro hivyo si ajabu kuwakuta watu kama wewe kina kirefu humu mkitapatapa humu jamvini!

Nakushauri kwanza uwe mstaarabu, rudi shule ujifunze kuandika bila kusahau hoja hujibiwa kwa hoja na si vioja..hii ni home of great thinkers!
 
Sasa mbona umesema kitabu kikiwa na kosa moja tu unakikataa?

Unaelewa hata wewe mwenyewe unasimamia nini?
Nakikataa kitabu kwa kosa la facts sio kosa la kiuandishi, angalia mifano yangu...

Mtu akisema rais wa kwanza wa Tanzania ni Julias Nyeriri namuelewa maana ni kosa la kiuandishi...

Ila akisema ni Rashidi Kawawa unamkataa maana ni kosa la kupotosha.
 
Nakikataa kitabu kwa kosa la facts sio kosa la kiuandishi, angalia mifano yangu...

Mtu akisema rais wa kwanza wa Tanzania ni Julias Nyeriri namuelewa maana ni kosa la kiuandishi...

Ila akisema ni Rashidi Kawawa unamkataa maana ni kosa la kupotosha.
Haya, kitabu hicho hicho kikipatia mambo yote, kurasa 1500 zote ziwe sawa, kikakosea tarehe ya kufariki Sokoine, kikaitaja April 12, 1983 badala ya 1984, utakikataa kitabu kizima kwa sababu ya kosa moja?

Utaacha kulikataa hilo kosa moja na kukubali hayo mengine yote yaliyopatiwa, na utakataa kitabu chote kwa sababu ya kosa moja hilo?
 
Sijqongeleq k
Kwako kiongozi mzuri ni mwislamu...

So kwako viongozi bora nchi hii ni Mwinyi, Kikwete na Samia...

Hili nina uhakika.
Umeona kuna sehemu nineongelea ubovu au uzuri wa kiongozi?

Unaota?
 
Kichaa anaenda kufanya utafiti kufahamu ukichaa wa watu timamu?

Tanzania kwa sasa, ni eneo hatari sana kwa kuishi watu timamu wa akili

Jinga kabisa
Kama kuna mtu kichaa zaidi ya Jiwe basi yamfaa huyo mtu auliwe na mamlaka
 
Mtu aliyekuwa Kichaa lakini akawa Waziri miaka ishirini na Rais miaka sita! Ahahahahaha!

Ila watu wenye akili kama wewe mmeishia kuwa wabangaizaji na majina bandia JF! Ahahahahaha!!!
Kuwa Rais au waziri ni ishu nyingine. Mpaka yeye mwenyewe aliwahi kujiita kichaa, au umesahau?
 
Ndio maana hadi Leo tunaamini umaskini wetu umesababishwa na wazungu ilihali hela zinapigwa halmashauri na wizarani
Mtu kafa kaenda nyie mpo hadi na utafiti unafanya
Ni muhimu ili tusije rudia kosa la kuweka Rais kama yule
 
soma Tena alichoandika sifi Leo kabla hujanijibu me kasome pia kitabu Cha kabendera
 
Umeandika mada ya kutuhuzunisha watanzania maana alikuwa mzalendo hasa tofauti na lililolithi limetuharibia nchi
Mzalendo uchwara. Alitupiga sana huku akiwatumia watu kama wewe kwa kuwaita wanyonge then nyie mnafurahi na kubinuka. Sijuia sasa kama huo unyonge wenu aliutoa au bado mko nao
 
Utafiti wangu umebaini mwamba JPM na Tundu Lisu ndio majina yanayotajwa sana humu jukwaani.
Kumuita jiwe mwamba ni kujifanya mjinga, labda mwamba wako, wewe utakuwa ni wale mliokuwa mnaitwa wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…