Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

Mihogo mchana anakula nani? Pangilie muda vizur uwe na mikakt endelevu mzee si kwa ubaya tu. Ukileta usela mavi uzi huu masela mavi tutahakikisha unafutwa mana tutaujaza shombo mwanzo mwisho
 
Uza miogo ndugu
 
Mihogo mchana anakula nani? Pangilie muda vizur uwe na mikakt endelevu mzee si kwa ubaya tu. Ukileta usela mavi uzi huu masela mavi tutahakikisha unafutwa mana tutaujaza shombo mwanzo mwisho
Kwani mihongo inaliwa muda gani? Kwanza uko wapi wewe?
Na wapi nimesema ntakanga mihogo mchana?
 
Kwani Kuna tatizo?
Eee tatizo lipo kubwa sana mkuu
Wewe ni msomi ulifika level ya university cha ajabu hadi unamaliza masomo Yako hujui Cha kuja kufanya mtaani!!

Tukikuuliza ulikuwa unasomea ninj au ulikuwa unasomea Ili ukuje tu utasema tuna kunyanyapaa?

Imagine wewe ndo umesoma hujui Cha kufanya ni Nini vipi yule aliyeishia la Saba,form4 na yule asiye soma kabisa?

Binafsi sikulaumu wewe Bali nakupongeza kwa kuthubutu hata kujitokeza angalau usishinde kwenye betting hongera sana
 
Fanya ya mihogo, ukipata location nzuri na uwe una pata mzigo wa mihogo ile mi laini ndani ya mwaka uko mbali sana kama uko makini.
 
Binadamu bana si Bora mm nna wazo kama Hilo? Kuomba ushauri nimekosea?
Wasomi wangapi wapo mtaani hata wazo la biashara hawana wanategemea kuajiliwa!
Wengine wanakuja hapa jukwaanikuomba msaada wapate kula najua ww ni shahidi

Hupaswi kuninanga mkuu haya maisha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…