Nipo Dodoma: Itabidi tugawanyike makundi ili waende wachache ili kupunguza mihemko kutoka kule! Dodoma kumefurika!

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.

Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.

Lissu anakubalika aisee!
 
Lissu The Great
 
Lowassa aliwaachia cdm kiki kubwa sana. Sitegemei lissu kuifikia ile kiki hata kwa mbali. Narudia act wazalendo ndio ataenda kua chama kikuu cha upinzani baada ya huu uchaguzi. Na hata act atapitia zanzibar sio bara .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…