AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Huko bei mboni chini sana huku inauzwa mara 3 ya hizo bei inakuaje hapo?Karibu kwa maswali na oda. Uaminifu, uwazi na mawasiliano mazuri ndiyo msingi wa huduma hii.
Dubai ndio wanapochukulia bidhaa wafanyabiashara wa bongo , +ushuru +faida yao lazima bei iwe kubwa.Huko bei mboni chini sana huku inauzwa mara 3 ya hizo bei inakuaje hapo?
Ukiangalia vizuri mikono iliyoshika hizo simu hapo ipo tofauti unaweza kunipa maana yake?
Ninauza simu umeoneshwa simu zinazopatikana...Ukiangalia vizuri mikono iliyoshika hizo simu hapo ipo tofauti unaweza kunipa maana yake?
AkamatweMwizii
Mkuu utakivunja baada ya miongo mingapi?
Kitakuja kuvunjwa na vigota kama sio vilembwe wangu.Mkuu utakivunja baada ya miongo mingapi?
Nani umemuagizia? Labda mtu afunge macho afanye ana betthuduma bado zinaendelea.
Nipo Dubai naagiza bidhaa mbalimbali za Electronics original kutoka dubai .
Whatsapp +255765447055
kwa sasa mtu bongo hakuna...biashara zinafanyika kwa uaminifu mkubwa...Usha muagizia nani humu?:nataka kweli simu, shida ni uaminifu
Labda kama kuna mtu bongo anapokea pesa kwa niaba yako
750,000 unapata usedJe hii unayo?
NOTHING PHONE 3A PLUS
BEI GANI?
Kazi ni kipimo cha utu
kwa maneno? Ama kuna vidhibitisho? Hata kule Alibaba kuna ile waiata Escrow account,kwa sasa mtu bongo hakuna...biashara zinafanyika kwa uaminifu mkubwa...
Probably, jamaa anazania ni ni rahisi tu mtu kutuma pesa, na Hana hata Ndugu Tanzania nzima,Mwizii
bro ni bora ununue bidhaa kariakoo..Wewe unafanya biashara kubwa hivyo huna mtu Tanzania, huna ndugu huku?, huna rafiki/Ndugu ambaye ndie anaye weza akawa anapokea pesa. Hata Mama mzazi au Baba Mzazi anaweza fanya hilo zaezi la kupokea pesa.
Ni ngumu sana mno, ni bora kununua hizi za hapa Kariakoo