Dubai Market
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,186
- 1,595
- Thread starter
- #141
hata ukiwa mkoani nje na dar mzig unakufikia
Malipo kwanza au una Wakala? Tugusie Apple Laptops (MacBooks)hata ukiwa mkoani nje na dar mzig unakufikia
Mimi nimeona bei zote ni sawaSo, basically, tofauti yako na waagizaji wegine ni ipi?
Kosa ulitaja kuwa wewe ni mchagaSiri ya kambi bwashee 😅
Kijana atakua mbabaishaji naona hata maswali ya msingi anayoulizwa anayakwepa.Kuna aliyefanikiwa kupokea
simu,laptop,playstation,tablets kutoka kwa mtoa mada baada ya kufanikiwa kulipia mzigo?
Uaminifu umekuwa mdogo ndiyo maana watu bado wanakauwoga
Huwa nawasisitiza vijana humu, kwamba hakuna bidhaa adimu kama uaminifuKijana atakua mbabaishaji naona hata maswali ya msingi anayoulizwa anayakwepa.
Hatujuani, huna ofisi, hamna mtu Kati yeyote Ila tupeane hela unitumie simu hadi sirari?Huwa nawasisitiza vijana humu, kwamba hakuna bidhaa adimu kama uaminifu
Angejitahidi kuwa mwaminifu akawa anajiwekea faida hata ya 50,000 kwa simu anayouza kwa uaminifu, bado angeweza kupata faida kupitia wateja tuliopo humu
Bahati mbaya, unaweza kutuma pesa na usipokee simu yako 🙌
Ndiyo ugumu ulipoHatujuani, huna ofisi, hamna mtu Kati yeyote Ila tupeane hela unitumie simu hadi sirari?