Wazo zuri ila viashiria vya utapeli ni vingi
Mfano hujasema kama wewe ndiyo unaanza biashara au ni mzoefu.
Kama ni mzoefu niitegemea uje na proves mbalimbali kuonesha kuwa ww kweli ni genuine na simu zako ni quality.
Mfano wa proves ni kama ushahidi wa malipo au ushahidi wa bidhaa kumfikia mlengwa n.k.
Hii ingefanikishwa kama tungepata ukurasa wako halisia wa instagram n.k
Kumbuka hili ni jukwaa anonymity so kuaminiana kirahisi kiasi hicho ni ngumu ndiyo maana wenzako sahivi wanasafirisha mzigo kwanza mteja anaukagua ndiyo wanalipa .
My take ,kama huna duka bongo tafuta dealer wako mletee mzigo then tangaza location humu watu wamfuate nakuhakikishia kwa bei ulizotaja hapo juu humalizi mwezi stock itakuwa ishaisha na wafanyabiashara wenzako wengine kuanza kuagiza kutoka kwako.
UKIPINGA NITAPATA MASHAKA NA UHALALI WAKO sitoona aibu kukuita TAPELI.
Anyway: Najua kuna vibwengo watajaa kwenye mfumo 😂