NIPO DUBAI ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช โ€” Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine Genuine

NIPO DUBAI ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช โ€” Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine Genuine

Mmmh sasa huu si utapeli tu km wengine.
Aaah wee!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
sidhan kama ni sahihi kumshutumu kama ni tapeli bila uthibitisho wowote kama aliwahi kukufanyia, ni aidha useme haumuamini lakini sio kumuita tapeli moja kwa moja.

Ni mara ngapi watu wanaagiza bidhaa alibaba, amazon, ebay, aliexpress, kikuu na zinawafikia.. je wanapokea mzigo kisha wanalipia?..
hapana bali mzigo unalipiwa kwanza kisha unaagiziwa..
Au sababu ni Mswahili mwenzako ndio maana unapata guts za kumuita tapeli
 
Huu uzi natarajia utakuja kuwa uzi pendwa wa kuagiza biadhaa dubai.
Ni suala la muda tu Wateja kutoka Hapa jamiiforums kuanza kuleta mrejesho wa Bidhaa walizopokea
Sikia mahi, hiyo biashara yako ya upewe hela kabisa afu uagize, hakuna mtu utamchota hapa, wee fanya hivi beba mzigo jumla ulete Bongo waja wachangamke nazo.
 
sidhan kama ni sahihi kumshutumu kama ni tapeli bila uthibitisho wowote kama aliwahi kukufanyia, ni aidha useme haumuamini lakini sio kumuita tapeli moja kwa moja.

Ni mara ngapi watu wanaagiza bidhaa alibaba, amazon, ebay, aliexpress, kikuu na zinawafikia.. je wanapokea mzigo kisha wanalipia?..
hapana bali mzigo unalipiwa kwanza kisha unaagiziwa..
Au sababu ni Mswahili mwenzako ndio maana unapata guts za kumuita tapeli
Kikuu na Amazon usiwataje, ni matapeli wakuu haswaa. Sijui hao wengine.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watu wanapigwa Vibaya mno, hii michezo Mimi nimeshaigundua kitambo, unampa hela akugizie mwenyewe anaingia chombo za kariakoo anaota malonya lonya ya simu anakuletea anakwambia Basi Mzigo wako umefika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hawakujui vizuri kuwa we mwenyewe ni born town kitambo?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Back
Top Bottom