Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Watu wanapigwa Vibaya mno, hii michezo Mimi nimeshaigundua kitambo, unampa hela akugizie mwenyewe anaingia chombo za kariakoo anaota malonya lonya ya simu anakuletea anakwambia Basi Mzigo wako umefika😂😂We upo Dubai au Tanzania?