NIPO DUBAI πŸ‡¦πŸ‡ͺ β€” Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine Genuine

Piga kazi mzee utawadaka wengi tu humu. Watanzia sikio la kufa
 
huduma bado zinaendelea.
Nipo Dubai naagiza bidhaa mbalimbali za Electronics original kutoka dubai .
Whatsapp +255765447055
 


agiza simu used na original kutoka Dubai.. whatsapp +255765447055
 
Agiza iphone,samsung,google pixel original kutoa Dubai uipokee ndani ya siku 3 tu.
whatsapp +2557654470555
 
HIZO BIASHARA PELEKA HUKO FB.
HUKU WATU WAJANJA.

OGOPA MATAPELI.,
 
Utapata wateja ila ili uwapate wengi it is better utafute sehem hata kama ni home hapa bongo hasa dar watu uwaelekeze waende kuweka orders zao walipe pesa nusu ili uwe na uhakika wa ununuzi wao then unaagiza sm ikifika mtaja anamalizia pesa then anachukua device yake. Hii inaongeza uaaminifu na confidence ya mteja
 
Agiza iphone,samsung,google pixel original kutoa Dubai uipokee ndani ya siku 3 tu.
whatsapp +255765447055
 
inawezekana hili tangazo si mahsusi kwa ajili yako boss wangu
Mimi nahitaji simu tena mbili ila sijasema wewe ni tapeli ila kwa mfumo wa kwamba nitumie imani tu kwangu ni tatizo....kwasababu biashara yeyote ile lazima kuwe na jambo ambalo mtu atakuamini nalo
 
Mimi nahitaji simu tena mbili ila sijasema wewe ni tapeli ila kwa mfumo wa kwamba nitumie imani tu kwangu ni tatizo....kwasababu biashara yeyote ile lazima kuwe na jambo ambalo mtu atakuamini nalo
Mimi pia nahitaji simu na Tablet ila kipengele ni kutuma hela. Angekuwa hata na ofisi angalau.
 
Agiza iphone,samsung,google pixel original kutoa Dubai uipokee ndani ya siku 3 tu.
whatsapp +255765447055
 
OLE WAKE MWANA JF AJE ALALAMIKE AMEPIGWA.

TAPELI HAJIFICHI.
OGOPA MATAPELI.

TAZAMENI NIMEKWISHA KUWAONYA MBELE.
 
Bidhaa za electronics tunaagiza kutoka dubai.
Bidhaa original na bei ni nafuu sana.
Uhakika kupokea bidhaa yako ndani ya siku 3.
whatsapp +255765447055
 
Agiza simu original kama samsung, iphone,google pixel kutoka masoko ya dubai leo hii mzigo wako uupokee ndani ya siku 3 tu.
Pia kwa mahitaji yoyote ya vifaa vya electronics kutoka dubai.

whatsapp +255765447055
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…