Nipo geto tu sielewi mwenye mchongo wa hela jamani

Nipo geto tu sielewi mwenye mchongo wa hela jamani

Sio kawaida mtoto wa kiume kuwa na miguu laini hivi?!
Anapaka lotion
Jamaa kasema ana vidole vizuri....

Mimi nikamjibu kama ulivyoona

Lotion Haina ubaya wowote mkuu.... sasa Nivea for men itakufanya uwe laini hivyoo ?

Unakuwa na ngozi tuu ya kawaida ambayo haitishi......

Pia wengine wana ngozi soft.....

Hapo kilichonishangaza huo mkao kwa kiumeni Haileti picha nzuri kwa jamii
 
Back
Top Bottom