Nipo geto tu sielewi mwenye mchongo wa hela jamani

Weka Account watu wakuwekee chochote ukale 😀vyumba vingi vina AC na hazifanyi kazi.
Ukiangalia jinsi hiyo picha ilivyopigwa kwa urefu kwenda juu,unaona kabisa kua mleta mada alifanya jitihada zote ili AC itokee,lengo lake wala sio kuomba mchongo wa hela,ila alikosa tu kitu cha kuandika ambacho kitaisindikiza hiyo picha kuja hapa JF.
😀
 
Asante kwa ufafanuzi Mkuu, hata mimi hili ndio wazo la kwanza kunijia baada ya kufungua hii post. Isije tu ikawa mwanaume alooo 🤣 anyway tumeona eisii
 
Back
Top Bottom