Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi

Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANTView attachment 2644759
Kwa mkwere manzese aaah kuna madude ya hatari hapo. Mahindi ya kuchemsha huyo mkwere anayapendq sana. Kuna mama hapo mbele anauza maboga na makande asubuhi weeew
 
Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi

Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANTView attachment 2644759
Njoo Kingston hapa kiwanja tulivu kabisa sio mbali na hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi

Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANTView attachment 2644759
Naomba usikilizwe ndugu Mpwayungu Village. Kwasasa nipo unyamani BOB "Mpumalanga ndogo", baadae nitaingia pande za Mbwisi then Midizini then nakuja hapo kuku join ndugu yangu wa damu
 
Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi

Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANTView attachment 2644759

Wewe unywe safari wenzio utunyweshe K-VANT [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Km pesa ya savannah ipo nije mkuu
 
Back
Top Bottom