Nipo hapa Mkapa Stadium kuisuport timu yangu ya Taifa star, tuungane kuishangilia Timu yetu

Nipo hapa Mkapa Stadium kuisuport timu yangu ya Taifa star, tuungane kuishangilia Timu yetu

Ila hiki kikosi cha leo sikiamini kabisa, sijui. ngoja tuone.
Timu imekuwa butu umaliziaji.
 
Kwakweli leo Taifa Star hamjatufurahisha.
Poor performanc,
 
Back
Top Bottom