Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

Yaani utanifanya nirudi hapa C.C (Cheke-Chea) kwa Vurugu nyingi..... Nitakuwa na mvuto kama nimemeza sumaku...

hebu rudi faster
maana mambo yanaharibika kisa mwenyekiti yupo kifungoni kila kukicha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…