love you bbyakhaaaa!staki
badoooolove u tooooo!umefrahi sasa eee!
love you bby
mpaka kieleweke hapaOoh... Kumbe battle inaendelea.... !
matusi hayo nitapandisha mori ujue!
mpaka kieleweke hapa
heee! Ruttashobolwa njoo umuone adui namba 1!
love u tooooo!umefrahi sasa eee!
Yaani utanifanya nirudi hapa C.C (Cheke-Chea) kwa Vurugu nyingi..... Nitakuwa na mvuto kama nimemeza sumaku...
hilo nalo neno we ndio chairman
hilo nalo neno we ndio chairman
aisee njoo unisaidie kuna muhaya moja anataka kuninyang'anya mke
Inabidi kuanza mipango mapema sana.Anza maandalizi ya ndoa mara moja! !
ni jirani na ninapoishi na mme wangu
ilaameniganda kweli uwiiii!sijui nimfanyaje
Anajiita Ruttashobolwa a.k a Loyanani tena huyo analeta vurugu mingi?
mwogope kama ukoma huyu, mwogope kama unavyo ogopa kuhalisha kwa kupitia kipindupindu