Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Passion Lady anakupenda sanaa yani
Kweli nimeamini ww ni FBI
Last edited by a moderator:
Kweli nimeamini ww ni FBI
Mbona ana ng'ang'ana na mambo ya loya sasa? ?Passion Lady anakupenda sanaa yani
mie nimekuulizia Tonykp, najua hapa unajikosha tu ila badae mpo pamoja mnatumbua mautamu
akha babu hebu nitue mm
msimchokoze Rutta wangu asbh yote hii
mtamharibia siku bure!
Usiutese moyo wako ingia mazima tu kwa Tonykp uenjoy life bana
Mbona ana ng'ang'ana na mambo ya loya sasa? ?
Chezeya mautamu weye!!!!!!!!!
wewe nitakusemea!
akha babu hebu nitue mm
msimchokoze Rutta wangu asbh yote hii
mtamharibia siku bure!
Tunguli zako zitakua na virus
zirekebishe kwanza bna mi nipo na loya hapa!
Mashallah .....Usijali, hapa jamvini si unajua alitangaza ndoa na jamaa, so anaona noma kumwaga live ila kila dalili za kua hamtaki nimezion, mtoto kaisha kupenda bana
Roya yuko wapi?