Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Apumzike mahali pa baridi servani
Duh! Nimeogopa sana!
Apumzike mahali pa baridi servani
Vitanoga zaidi incase kauli ya huyo mrembo Passion Lady itasimikwa hapa kukazia unichokieleza.
Huyo Kapolondo naona kama anajifagilia tu. sidhani kama Passion Lady anaweza msaliti loya
hakuna wa kuhurumiwa hapoKumhurumia pekee pekee sidhani sana kama ni kumsaidia!
Labda ungem'bariki ingeleta sense!
Mamndenyi huna haja ya kunionea huruma! Ukiona mwizi ana tamba namna hii ujue hana uwezo wa kuiba!
Lets wait, time will tell
limbwata linanogesha tuHahahahhahahaaaaa
Yan we ndio limbwata imekukoleaaaaaaa
Kudadeki
mi nawaangalia tu wanavyojileta
mimi na loya wangu mpaka kifo kitutenganishe!
Kumbe jamaa anasafiria nyota yako?
kwa niaba ya Tonykp ambae amepigwa BAN nawakilisha."hii nikwa AJILII ya wapinzani wangu hapa C.................
Copy.
Filipo
Ruttashobolwa
Vin Diesel
Erickb52
Arushaone
Donn
noahism
Na wengineo wanaojijua!!!!"
loya eeehmi nawaangalia tu wanavyojileta
mimi na loya wangu mpaka kifo kitutenganishe!
kwanza kabisa Nimuondoe shaka Ruttashobolwa wangu
kapolondo kipindi ulisafiri alikua ananivizia mtaani na kutuma watu
nikamtolea nje,sasa ameona aje aharibu huku,i love u my bby Rutta!
Bby just tuliweke wazi hili swalakwanza kabisa Nimuondoe shaka Ruttashobolwa wangu
kapolondo kipindi ulisafiri alikua ananivizia mtaani na kutuma watu
nikamtolea nje,sasa ameona aje aharibu huku,i love u my bby Rutta!
loya eeeh
sasa je
ila ukininunulia Range rover kama ulivyoniambia
naweza nikabadili mawazo!
limbwata linanogesha tu
sisi tunapendana kwa dhati!
pic za harusi umeziona lkn?coz sikukuona ile siku!
Bby just tuliweke wazi hili swala