Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Mmmmmmh
Sweetie umemaliza kila kitu kabisa hakuna mjadala!
ndio nimeachiwa mchana huu mkuu
mjadala hauwezi kuisha mpaka kielewekeSweetie umemaliza kila kitu kabisa hakuna mjadala!
Huyu adhabu yake ni kumuacha apige kelele akichoka apumzike kama alivyo pumzika Erickb52.
mjadala hauwezi kuisha mpaka kieleweke
nabaki vodaMi nimehamia zangu Airtel
umeona yaliyo jiri sio /?Ngoja nitaludi kusoma badae kuangalia yatayo jiri humu ndani.
Mi bata silagi labda kama ungekuwa unakula kuku ndio ungenitamanisha!
We kula tu mi ntaenda kwenye chairfire jioni!
haya mapenzi ya siri haya duhaaakhaaaa babu usinitaftie talaka mie!
nitawavizia pale total ili nifwate nyuki nile asali lolz!mkuu na mimi ni muumini wa hiyo, kuna sehemu kama unaenda njiroo kametulia tustuane ijumaa bado nipo AR
kampani imekamilika!!mkuu na mimi ni muumini wa hiyo, kuna sehemu kama unaenda njiroo kametulia tustuane ijumaa bado nipo AR
haya mapenzi ya siri haya duh
BA zee ba PM
kampani imekamilika!!