Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Naona vijana wana jisumbua tuuu! Mbona mnamsumbua akanana wangu Passion Lady
Shemeji Passion Lady kaka Tonykp yupo wapi
we hujui alipo mi nijulie wapi
we si ndio bouncer umewekwa unilinde?
Unauliza jibu mbona? Poa, badae mfikishie salama zangu
shemeji wa mabox
acha ufukunyuku basi,mbona mchokozi ww!
Mie najidai kua na shemeji kama wewe, reason umekamilika na una hadhi ya kuwa shemeji yangu
mhhh!haya bana haina tabu
Tony leo sijamuona kabisa
rill miss him so much!
We ndio unasema si mimi wala akanana wangu Passion Lady
bora swr unisaidie kumshangaa
ila ni utoto tu unamsumbua akikua ataacha
mic u bby!
hasubuhi si mlikua wote bana, nawe una mmbana aisee kha!
mtu ambae umelala nae, ume mpa mahabati mazito nae kakupa mapenzi ya dhati leo unamwita mtoto?
lazima nimpe tiba mtt wa watu
si unajua mm dactari!
hahahaaaa!jamani mbavu zangu mieee
we mganga feki kweli
utasutwa wewe
shauriyako!
bora Donn umekuja piga ban huyu mtu!