Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
ah ah! midevu Kama steel wire nakupenda shemeji yangu wewe
utajiju
mwanaume ww,lione midevu yake!
utajiju
mwanaume ww,lione midevu yake!
hebu rudi faster
maana mambo yanaharibika kisa mwenyekiti yupo kifungoni kila kukicha!
sikushindi wewe mtt wa uswazi!
nimpige ban ya miaka mingapi mpendwa? Sema wewe maana mimi huwa natoa hukumu kali
ah ah! midevu Kama steel wire nakupenda shemeji yangu wewe
hee... Kumbe Tonykp ndo anataka kukutoa kwa loya?
we utakua filimaso lazima
unatafuta wa kumtoa kafara!nishashtuka!
nipo hapa kijana angu umepotea sanaShemeji Passion Lady kaka Tonykp yupo wapi
kamanda manoah ni mimi ndugu yako nafunga harusi hapa na Passion Lady nahitaji Baraka zako kakaah ah! nitatoa kafara wote ila sio wewe shemeji yangu mrembo yani kama malaika
Shemeji ujue unakasauti kazuri ka kumtoa shetani mawindoni eeh! Tena ulivyo mrembo Tonykp hakuachi hata muhanga tutajitoa
kamanda manoah ni mimi ndugu yako nafunga harusi hapa na Passion Lady nahitaji Baraka zako kaka
Naona mnakukuruka hila si mbaya mkafanya mazoezi daa nazidi kumpenda akanana wangu,kumbe ndio maana mnanyatia!
kamanda manoah ni mimi ndugu yako nafunga harusi hapa na Passion Lady nahitaji Baraka zako kaka