Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
we upo 700km away from her mi nipo 0km away ...do u see the difference? ?Naona mnakukuruka hila si mbaya mkafanya mazoezi daa nazidi kumpenda akanana wangu,kumbe ndio maana mnanyatia!
we upo 700km away from her mi nipo 0km away ...do u see the difference? ?
mmhhhhh!haya we mgeni
kamba ilishakatika nakaribia kutangaza jamhurii, hujajua kwanini niko huku porini...
kamba ilishakatika nakaribia kutangaza jamhurii, hujajua kwanini niko huku porini...
twende zetu maeneo yetu tukakate kiu lol!!una balaa wewe!
twende zetu maeneo yetu tukakate kiu lol!!
twende zetu maeneo yetu tukakate kiu lol!!
waooo!panga vikosi babahahahah Jamhuri ishakamilika bado kuitangaza tu, we Captain-Passion nakupanga KJ35 dikidiki,Canal Tonykp nampanga KJ22 PinPoint, Luten Canal Fillipo KJ23 Bugaluu.. bado naendelea kupanga vikosi
kama kiu ya bia na mi nimo?? msafara wa kenge.....
njoo water front ndio tunaenda hapo!
utawahi kwli ths tym mpaka ufike town?
ahhh naona nshakuwa jiwe la waashi... liko huku pembeni porini haliwezi kuwahi
hahaha ya bia mkuu si vinginevyokama kiu ya bia na mi nimo?? msafara wa kenge.....
kamanda manoah ni mimi ndugu yako nafunga harusi hapa na Passion Lady nahitaji Baraka zako kaka