yupo wapi
ndio namtafuta
simuoni huku labda kalewa
hahaaaa!
yupo wapi
nakutegemea mkuu wanguKamanda ujue tarehe 10
nakutegemea mkuu wangu
nilikuwa nae usiku huu amekubali so kesho fanya mamboNdoa kesho au unaonaje, mie nimesha ongea na shemeji kakubali.
nilikuwa nae usiku huu amekubali so kesho fanya mambo
Nitafanya ivyo kamanda, shemeji Passion Lady anakupenda sana
manoah hatumii kilevi mke wangu Passion Lady
hatumii bia tu
za kienyeji anakunywa sana
nilishawah mkuta sehemu anafakamia chang'aa!
acha harakaShemeji leo ni siku ya ndoa yenu wewe na Tonykp
acha haraka
kwanza bwna harusi mgonjwa
pia BMW sijaiona
BMW mbona imefika.. shemeji! Hajanipa taarifa kama unaumwa
ok usijali wangu
mimisa nitamuweka sawa!
ndio maana nakupenda sana shemeji yangu!