Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Mie na wewe tena shemeji yangu, sema unataka nini..
jiandae kunilipa
we unadhani nafanya bure!
jiandae kunilipa
we unadhani nafanya bure!
Mie na wewe tena shemeji yangu, sema unataka nini..
chochote unachoona kinanifaa
kulingana na hadhi yangu!
Mie na wewe tena shemeji yangu, sema unataka nini..
Ukweli shemeji katika dunia hii kitu chenye hadhi yako kabisa zaidi ya Tonykp pekee
nishamuita mimisa anakuja home
sasa wewe kunywa konyagi kubwa thn
uje home,uangue kilio,lazima akubali tu!
nishamuita mimisa anakuja home
sasa wewe kunywa konyagi kubwa thn
uje home,uangue kilio,lazima akubali tu!
Passion Lady ww mchokoz sn asee kumbe
niletee Ruttashobolwa wangu kwanza
thn tutaelewana!
katishia kujinyonga mwenzio
kubali uolewe tu na Mamndenyi awe mkweo!
wewe!hebu muheshim huby wangu
Konyagi tena shemeji!
yah!ukinywa ile hua inaleta machozi
ya haraka,ukilia mbele ya mtt lazima akubali!
asijinyonge bana.
haya mi nakuachia
nyagi ushatupia?
lia kwa sauti kabisa
gud luck!